WASIFU WA UKAGUZI WA NDANI
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Ndugu Ernest Kileo
1.0 Utangulizi
Kitengo Cha Ukaguzi ni kitengo huru ndani ya taasisi kinachoangalia mifumo ya udhibiti katika masuala ya kihasibu, fedha na kiuendeshaji ndani ya taasisi kwa ajili ya kuimarisha mifumo ya kiutendaji katika kuleta ufanisi. Pia Kitengo kinafanya kazi ya kuangalia maeneo yenye viatarishi ndani ya taasisi, ili kuweza kusimamia na kuzuia athari hizo kujitokeza.
Utendaji wa kazi wa kitengo unazingatia mahitaji ya sheria za ndani, miongozo na taratibu zake na sheria za kimataifa pamoja na taratibu zake. Sheria zinazotumika katika utekelezaji wa majukumu ni ” Local Government Finance Act. No. 9 of 1982 Section 45 (1) and 48, Public Finance Act (2001) as revised 2004 and amended 2010, Public Finance Regulations (2001), Local Authority Financial Memorandum, 2009 which replaced LAFM (1997), Public Procurement Act (20110, Public Service Act (2002), Standing Orders (2009), The International Professional Practice Framework (IPPFs) issued by the IIA, Code of Ethics for Internal Auditors issued by the Internal Auditor General, Circulars issued, from time to time, by the Permanent Secretary, President’s Office- Public Management Service Management (PO-PSM
2.0 Malengo
Malengo ya kitengo Cha Ukaguzi katika kufanya na kukamilisha shughuli zake ni pamoja na
3.0 Muundo
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina jumla ya watumishi watatu ikiwa ni Mkuu Wa Kitengo, na wakaguzi wa ndani wawili.
4.0 Kanuni na maadili ya utawala wa Sheria
Mkaguzi wa ndani anaongozwa kufanya kazi kwa taratibu na misingi ifuatayo katika kutekeleza majukumu ya kazi zake za kila siku.-
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved