• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Complaints |
    • Gms |
Government Web Framework

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Government Web Framework

  • Home
  • madiwani
    • madiwani
      • dodoma
    • Kikuyu
    • Regional Leaders
  • Utawala
    • Regional Secretariat Structure
    • Sections
      • Human Resources
      • Planning and Cordination
      • Economy and Production
      • Infrastructure
      • Local Government
      • Afya
      • Education
      • Maji
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Procurement and Supply
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
  • Districts
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewa
  • Councils
    • Buchosa DC
    • Ilemela MC
    • Kwimba DC
    • Magu DC
    • Misungwi DC
    • Mwanza CC
    • Sengerema DC
    • Ukerewe DC
  • Investiment Opportunity
    • Kilimo
    • Livestock
    • Services
    • Industries and Trade
    • Mining
    • Fishing
  • Tourism Centers
    • Saanane National Park
    • Bujora
    • Bismarck Rocks
    • Nyakuberega
    • Nyamadoke
  • Media Center
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba
    • speeches
    • Press-Releases
    • video
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Reports

Wawili waswekwa rumande kusuasua miradi ya maji Rombo

Posted on: January 24th, 2020

Watu wawili,Godson Josea -Msimamizi wa mradi wa maji wa Shimbi Mashariki na Mhandisi Amos Thomas walio chini ya Mkandarasi  HECO SANMARK (T) LTD  wanashikiliwa na jeshi la polisi  mpaka Mkandarasi huyo atakapojisalimisha kwenye uongozi wa wilaya.

Maamuzi hayo yamefanywa na Naibu waziri wa Maji Jumaa Aweso baada ya kufika katika mradi wa maji Shimbi Mashariki na kukuta mradi ulioanza toka mwaka 2013 haujakamilika na mkandarasi  ambaye amekwishalipwa fedha na serikali kiasi cha shilingi milioni 100 hayupo eneo la mradi, huku kukiwa na malalamiko ya vibarua kutokulipwa fedha zao.

Aidha Naibu Waziri Aweso amemuagiza Mhandisi wa RUWASA Joseph Mcharo  kuhakikisha anafuata taratibu za kisheria  na kuvunja mkataba na HECO SANMARK (T) LTD  pindi atakapojisalimisha  ili asilimia 12 zilizobaki za mradi kukamilika zifanywe na wataalamu wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi Wa Mazingira (RUWASA)Wilaya ya  Rombo  .

Ameongeza kuwa mbali na kushughulikia suala la vibarua kulipwa fedha zao , pia RUWASA wanatakiwa kuhakikisha mzabuni wa  pampu za maji analipwa fedha yake na pampu ziwashwe ili wananchi wa eneo hilo wapate huduma maji.

Mhandisi  Mcharo  amesema kuwa mradi wa maji Shimbi Mashariki wenye thamani ya shilingi milioni 887.4 umeshatekelezwa kwa asilimia 88 huku Mkandarasi akiwa amekwishalipwa kiasi cha zaidi ya milioni 400 na anadai kiasi cha shilingi milioni 86 tu.

Amesema sababu kubwa wanayoitoa wakandarasi ya kuchelewa kukamilisha miradi ni kutolipwa madai yao kwa wakati , na pindi wanapoandikia madai yao wanasimamisha ujenzi mpaka walipwe fedha zao ndio waendelee na kazi.

Vilevile Naibu Waziri Aweso  alitembelea mradi wa maji katika kijiji cha  Leto wenye thamani ya shilingi milioni 927.9 ambao nao pia haujakamilika kitu kinachosababisha wanakijiji wa eneo hilo kwenda kuchota maji nchi jirani ya Kenya.


Matangazo

  • BOFYA HAPA KUPATA MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 14, 2020
  • BOFYA HAPA KUPATA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA ROMBO MWAKA 2021 December 18, 2020
  • Tangazo la Kikao cha Baraza la Madiwani Tarehe 31.10.2018 October 23, 2018
  • Matokeo ya Darasa la saba 2019 October 16, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI

    August 03, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

    July 22, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI

    July 22, 2022
  • KARIBU SANA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO.

    July 14, 2022
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: info.ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.